iqna

IQNA

manchester united
Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji chipukizi wa akademia ya Soka ya klabu maarufu ya Manchester United nchini Uingereza amewavutia wengi baada ya klipu yake akiwa anasema Qur'ani Tukufu kuenea mitandaoni. Katika kilipu iliyosambazwa na kaka yake, Amir Ibragimov mwenye umri wa miaka 15 anaonekana akisoma sehemu ya Surah Al-Furqan ndani ya Kituo cha Trafford mjini Manchester nchini Uingereza
Habari ID: 3476715    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16

Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mwanasoka Mfaransa Muislamu alijiunga na Wahed Inc., kampuni ya kimataifa ya Kifedha ya Kiislamu, kama mwekezaji na ‘Balozi wa Chapa’.
Habari ID: 3475365    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba nyota wa timu ya soka ya Manchester United ya Uingereza na mwenzake Ahmad Diallo jana walionekana wakiwa na bendera ya Palestina kwa ajili ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina wanaokabiliwa na hujuma na ukatili utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473926    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/19

TEHRAN (IQNA) – Paul Pogba, nyota wa timu ya Manchester United Ligu Kuu ya England nchini Uingereza anasema imani imani yake ya Kiislamu imemfanya awe mwanadamu bora.
Habari ID: 3471997    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12